Industial park ni muimu zitawekwa Bagamoyo, Kizimkazi Zanzibar au kokote kule- Rais Samia


“Kumekuwa na mjadala Bungeni, na nadhani Spika ndiye 'champion' wake, wa Industrial Parks, ili tukuze ajira na uchumi wetu, Kongano za viwanda ni muhimu sana.... "Sasa inategemea kama zitawekwa Bagamoyo, Kizimkazi Zanzibar au kokote kule,....ni muhimu “

Post a Comment

0 Comments