“Mimi na hayati Dkt Magufuli, tulikuwa kitu kimoja”- Rais Samia

 


Rais Samia Suluhu Hassan amesema Serikali yake itaendeleza mambo mema yaliyoazishwa na Marais wote waliomtangulia, pamoja na kuongeza mengine mazuri.

Pia amesema, mambo mengi atakayotekeleza ni yale ambayo Hayati Dkt Magufuli aliyaeleza alipozindua Bunge mwezi Novemba 2020.

Akasisitiza “Mimi na hayati Dkt Magufuli, tulikuwa kitu kimoja”

Post a Comment

0 Comments