Walioshindwa kutuletea maji na kutumia fedha nyingi wakae upande tuingize damu mpya - Rais Samia


Rais Samia Suluhu Hassan amesema anaenda kufanya mabadiliko makubwa ya wahandisi wa maji mikoani kwa sababu pesa nyingi zimekuwa zikitoka Wizarani kwenda mikoani lakini utekelezaji kwenye mikoa unasuasua,

" sasa walioshindwa kutuletea maji na kutumia fedha nyingi wakae upande watupishe tuingize damu mpya " - Rais Samia Suluhu Hassan Bungeni, Dodoma

Post a Comment

0 Comments