Kuna mkeka wa Wakuu wa wilaya(Ma-DC) utakaotoka karibuni- Rais Samia


 "Kuna mkeka wa Wakuu wa wilaya(Ma-DC) utakaotoka karibuni, na wote ni vijana, hizi ndizo fursa mlizonazo ingawa baadhi yenu tunapowapa fursa hizi mnafanya mnayoyafanya mnatuangusha, niwaombe sana mnapopata fursa mkalitumikie Taifa kwa umakini, Bado nina mkeka wa wakurugenzi na Makatibu Tawala wa wilaya (Ma-DAS)" - Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza na Vijana , Mwanza.

Post a Comment

0 Comments