Simba yatambulisha jezi mpya kwa mechi za kombe la shirikisho

 MABINGWA watetezi wa Kombe la Azam Federation Cup, Simba leo Juni  12 wametambulisha jezi mpya watakazotumia katika michuano hiyo.


Simba imetinga hatua ya nusu fainali baada ya ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Dodoma Jiji na itakutana na Azam FC katika hatua hiyo.

Post a Comment

0 Comments