https://monetag.com/?ref_id=TTIb Alikiba aharirisha kuachia video yake leo kisa hiki hapa | Muungwana BLOG

Alikiba aharirisha kuachia video yake leo kisa hiki hapa


Msanii Alikibaa ametangaza kuahirisha kuachia video yake mpya ya wimbo "Jealous" aliomshirikisha msanii Mayorkun leo Alhamisi kupisha msiba wa mtoto wa mtangazaji Masoud Kipanya Malcom, ambaye alikuwa rafiki yake na shabiki wa muziki wake.
Kiba kupitia ukurasa wake wa twitter, ameeleza kuwa ataachia video ya wimbo huo Kesho Ijumaa SAA 5 Asubuhi.

''Owing to the unfortunate demise of my dear friend Malcom Ally Masoud, I have decided to postpone the release of the music video for “Jealous” until 11 am on Friday, 30th July. #MalcomTheBeliever #DontGiveUp'' - ameeleza Alikiba.

Mwenyezi Mungu ailaze roho ya Marehemu mahala pema peponi, Amin.

Post a Comment

0 Comments