https://monetag.com/?ref_id=TTIb Breaking: Rais Samia ateua Boss wa TANROADS | Muungwana BLOG

Breaking: Rais Samia ateua Boss wa TANROADS



Rais wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Bwana Rogatus Hussein Mativila kuwa Mtendaji
Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS).

Bwana Mativila anachukua nafasi ya Marehemu Mhandisi Patrick Mfugale ambaye alifariki dunia tarehe 29 Juni, 2021, kabla ya uteuzi huo Bwana Mativila alikuwa Mkurugenzi wa Barabara, Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi (Sekta ya Ujenzi

Post a Comment

0 Comments