Sep 13, 2021

Dkt. Eliezer Feleshi ateuliwa kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali

  Muungwana Blog 3       Sep 13, 2021


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt. Eliezer Mbuki Feleshi, kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Dkt. Feleshi anachukua nafasi ya Prof. Adelardus Kilangi aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali ambaye ameteuliwa kuwa Balozi.

Kabla ya uteuzi huo Dkt. Feleshi alikuwa Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania.

logoblog

Thanks for reading Dkt. Eliezer Feleshi ateuliwa kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali

Previous
« Prev Post

No comments:

Post a Comment