https://monetag.com/?ref_id=TTIb January Makamba ateuliwa kuwa Waziri wa Nishati | Muungwana BLOG

January Makamba ateuliwa kuwa Waziri wa Nishati


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amemteua January Yusuf Makamba (Mb), kuwa Waziri wa Nishati.

Makamba anachukua nafasi ya Dkt. Merdard Matogolo Kalemani (Mb), ambaye uteuzi wake umetenguliwa.

Post a Comment

0 Comments