Kesi ya Mbowe na wenzake kuendelea leo


Kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe pamoja na wenzake inaendelea leo Septemba 20, 2021 katika Mahakama Kuu Divisheni ya Uhujumu Uchumi na Rushwa


Shahidi wa pili ambaye ni Mkaguzi wa Polisi Wilaya ya Arusha, Mahita Omar Mahita ataendelea kutoa ushahidi wake

Post a Comment

0 Comments