Rais amteua Makame Mbarawa kuwa Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amemteua Prof. Makame Mnyaa Mbarawa (Mb), kuwa Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi.

Prof. Mbarawa anachukua nafasi ya Mhandisi Dkt. Leonard Madaraka Chamuriho (Mb), ambaye uteuzi wake umetenguliwa.

Post a Comment

0 Comments