Waziri
wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa a Serikali za Mitaa Mhe Ummy
Mwalimu ameridhishwa na Ujenzi wa jengo la utawala la Halmashauri ya
Wilaya ya Kibiti Mkoani Pwani.
Akikagua
miradi ya Maendeleo inayotekelezwa, na Halmashauri ya Wilaya ya
Kibiti leo Waziri Ummy ametoa siku 30 kukamilisha ujenzi uliobak na
watumishi wa Halmashauri hiyo kuhama katika Ofisi hizo
Waziri Ummy ameiagiza Halmashauri ya Wilaya ya Kibiti kuhakikisha inatenga fedha kwa ajili ya ujenzi wa nyumba za wakuu wa Idara
Aidha
Ujenzi wa Jengo la Utawala lhadi kukamilika unakadidiwa kugharimu
kiasi cha shilingi bilioni 5.6 na mpaka Sasa ujenzi umekamilika kwa
asilimia 98
0 Comments