Ticker

6/recent/ticker-posts

 


Chaurembo Achaguliwa Urais TPBRC

 


Mgombea wa nafasi ya urais Kamisheni ya Ngumi za kulipwa nchini TPBRC, Chaulembo Palasa amefanikiwa kushinda nafasi ya urais kwa kupata kura kumi dhidi ya mpinzani wake wa karibu Meja Bakari Songoro kwa kupata kura tisa wakati Chatta Michael akitoka kapa kabisa.


kwa upande wa mweka hazina, Elius Mlundwa amepata kura za ndio 17 wakati kwa upande wa wajumbe Ibrahim Kamwe 'Big right' ameshinda kwa kura zote 19 wakati Amos Mwamakula akiwa amepata 11 huku Bakari Khatibu akipata kura 8


Post a Comment

0 Comments