Ticker

6/recent/ticker-posts

RAO HEALTH TRAINING CENTRE RORYA YATANGAZA NAFASI ZA MASOMO

           a 

MKUU WA CHUO CHA RAO HEALTH TRAINING CENTRE RORYA ANATANGAZA KUPOKEA MAOMBI KWA MWAKA WA MASOMO 2022/2023 INTEK SEPTEMBER / OCTOBER.


 KATIKA KOZI ZIFUATAZO:

 1. ORDINARY DIPLOMA IN CLINICAL MEDICINE (AFISA TABIBU) MIAKA 3 SIFA ZA MWOMBAJI:AWE NA UFAULU WA KIDATO CHA NNE KWA ANGALAU ALAMA 'D' IKIWEMO FIZIKIA'D' BIOLOJIA'D' KEMIA’D’ NA IKIWEMO HESABU NA ENGLISH NI KWA NYONGEZA KWA MASOMO MOJAWAPO. 2. ORDINARY DIPLOMA PHARMACEUTICAL SCIENCE


SIFA ZA MWOMBAJI:

AWE NA UFAULU WA KIDATO CHA NNE KWA MASOMO ANGALAU ALAMA 'D' IKIWEMO MASOMO YA BIOLOJIA 'D' CHEMIA'D'  

Pia tunafanya upgrading Upgrading course kwa wale waliomaliza cheti NTA Level 4 na NTA level 5FOMU ZINAPATIKANA CHUONI RAO MKOA WA MARA WILAYA YA RORYA AU KWENYE WEB SITE YETU www.raocoop.orgau wasiliana nasi kwa Email raohtc@raocoop.org au   0621614530 / 0789232430 / 0755709369 / 0685085757


WAHI SASA NAFASI NI CHACHE!!!!!! ALL COREESPONDENCES BE ADDRESS TO THE DIRECTOR GENERALPost a Comment

0 Comments