TANGAZO TANGAZO TANGAZO LA NAFASI ZA MASOMO SHULE YA SEKONDARI BISHOP MAKAYA

    


Uongozi wa kanisa kuu la Anglikani kasulu linaloendeshwa na Dioseces ya Western Tanganyika inawatangazia watu wote nafasi za masomo ya kujiunga na kidato Cha kwanza kwa mwaka 2023 na pia nafasi za masomo kuhamia kidato Cha pili ,tatu na nne. 


Shule ni ya bweni na ni mchanganyiko na wasichana 


Shule ipo mkoa wa kigoma na wilaya ya kasulu mjini barabara kuelekea kuelekea kabanga


Shule inapokea wanafunzi wa dini zote na kulelewa kwa misingi ya dini zao


Mazingira ya shule ni rafiki kwa mwanafunzi kujifunzia na kusomea na pia tuna walimu wa kutosha kabisa 


Ada zetu ni rafiki Sana kwa mzazi na zinalipwa awamu nne kwa mwaka ada ni laki Tisa (900000) na mchango wa maendeleo ya shule laki na elfu hamsini(150000)


Na Karo inalipwa kwa mchanganuo ufuatao hapo chini 

January 225000 + 150000,aprili 225000,June 225000 na September 225000 ewe mzazi / mlezi usisumbuke shule ya Bishop Makaya ni suruhisho la taaluma kwa mwanao karibu sana 


Kwa mawasiliano fika shuleni au piga simu Namba 0759616085

0744069064

0763120698

0764111338







Post a Comment

0 Comments