VIDEO: Mama na Baba lishe 100 wapatiwa mitungi ya gesi bure

Mama na Baba lishe 100 wa kata ya Chanika jijini Dar es salaam wamepatiwa mitungi ya gesi kwa ajili ya kupikia kwenye biashara zao kutoka kwa kampuni ya Taifa Gas ili kuunga jitihada za Rais Samia Suluhu Hassan ya kutunza Mazingira.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE   

Post a Comment

0 Comments