Jeshi la Uturuki laviongezea nguvu vikosi vyake vya Idlib Syria

Jeshi la Uturuki (TSK) limeongezea nguvu vikosi vyake vya uangalizi vilivyopo katika mji wa Idlib kwa kupeleka silaha zaidi na askari.

Msafara wa magari yaliyosheheni silaha nzito kutoka kwenye vikosi tofauti vya jeshi la Uturuki ulivuka mpaka  wa Reyhan kuingia Syria.

Slaha hizo china ya ulinzi mkali zitapelekwa katika vituo vya uangalizi vya Uturuki vilivyopo Syria.