Jun 1, 2020

Maandamano yashika kasi Marekani, Gari lachomwa moto

Moja ya matukio yaliyogusa hisia za Watu mitandaoni kwenye Maandamano yanayoendelea Marekani kufuatia kifo cha George Floyd, ni hili la Mzee kupigwa na Waandamanaji na gari lake kuteketezwa kwa moto katika eneo la Salt Lake City.

Mzee huyo alionekana kuchomoa upinde na mshale na kutishia kuwapiga waandamanaji ambao walimvamia kwa pamoja na kumshushia kichapo kilichomfanya akaumizwa sana kabla ya kufanikiwa kuokolewa.

Kwenye Interview aliyofanya baada ya kuokolewa anadai alikuwa anajihami baada ya kuchokozwa akiwa kwenye gari, lakini zipo taarifa kuwa alikuwa anawaambia Watu waache vurugu na maandamano ikapelekea kuwapandisha hasira>>”anatutishia na mishale utadhani yeye ni Tazarn wa kwenye movie”
KWA HABARI ZAIDI <DOWNLOAD HAPA>
Share:
Loading...

Popular Posts

Copyright © MUUNGWANA BLOG | Powered by Blogger