Arsenal Bingwa wa FA Cup

Arsenal wamefanikiwa kutwaa kombe la Emirate FACup baada ya kuichapa Chelsea 2-1 kwenye fainali ya michuano hiyo.

FT: Arsenal 2-1 Chelsea (Aubameyang 28’ P 67’) (Pulisic 6’).