Aug 2, 2020

Shilole ampa makavu live Snura Mushi mbele ya umati

  Muungwana Blog 2       Aug 2, 2020
"Kuna Wanawake tunapendana na kuna Wanawake wengine hatupendani, Dada yangu Snura Mushi aliposikia nimepigwa eti akasema apigwe tu, makavu live mimi sina siri, Mwanamke lazima umuonee huruma Mwanamke mwenzio, nakupenda Snura ndio maana nakuambia ukweli”-SHILOLE
logoblog

Thanks for reading Shilole ampa makavu live Snura Mushi mbele ya umati

Previous
« Prev Post