https://monetag.com/?ref_id=TTIb Simba yakamilisha usajili wa Perfect Chikwende | Muungwana BLOG

Simba yakamilisha usajili wa Perfect Chikwende

Klabu ya Simba imethibitisha kuwa imemsajili mchezaji Perfect Chikwende kutokea FC Platinum ya Zimbabwe.

Chikwende aliingia katika rada za Simba SC baada ya kuwafunga Simba katika mchezo wa round ya kwanza Ligi ya Mabingwa Afrika jijini Harare Zimbabwe.

Taarifa hizo sasa ni rasmi baada ya awali kuwa kama tetesi, Simba hawajataja wazi mkataba wa miaka mingapi wamempa Chikwende lakini inasemekana ni mkataba wa miaka miwili.


 

Post a Comment

0 Comments