Feb 23, 2021

Mwili wa balozi wa Italia waagwa DRC


Gavana wa Kivu Kaskazini Carly Nzanzu na mshauri mkuu wa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wameongoza maafisa wengine kutoa heshima zao za mwisho kwa mwili wa balozi wa Italia nchini DRC, Luca Attanasio na mlinzi wake.


Mwili wa marehemu unasafirishwa leo nchini Italia kutoka uwanja wa ndege wa Goma mashariki mwa DRCKWA HABARI ZAIDI <DOWNLOAD HAPA>
Share:
Loading...

Popular Posts

Copyright © MUUNGWANA BLOG | Powered by Blogger