Vita ya Simba na Al Ahly leo kwa Mkapa, hiki hapa kikosi kamili cha mauaji


 LEO Februari 23 kikosi cha Simba kitakuwa na kazi ya kusaka pointi tatu mbele ya Al Ahly kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya makundi.

 Mchezo huo wa kundi A unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa majira ya saa 10:00 jioni.

Hiki hapa kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes ambacho kinapewa nafasi ya kuweza kuanza mbele ya Al Ahly kusaka pointi tatu muhimu:-

Aishi Manula 


Shomari Kapombe 


Mohamed Hussein 


Pascal Wawa 


Joash Onyango 


Taddeo Lwanga 


Luis Miqussone 


Mzamiru Yassin 


Meddie Kagere 


Rarrry Bwalya


Clatous Chama

Post a Comment

0 Comments