Rais Samia: Tumepanga kuwapandisha madaraja na viwango vya mishahara watumishi wa umma


 "Ili kulinda haki za watumishi wa umma tumepanga kuwapandisha madaraja na viwango vya mishahara ili waweze kutekeleza majukumu yao ipasavyo". Rais Samia Suluhu Hassan.

Post a Comment

0 Comments