BAVICHA waingilia kati sakata la Ney wa Mitego na BASATA


Siku chache baada ya Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) kuufungia wimbo wa ‘Mama’ wa msanii Emmanuel Elibariki maarufu Ney wa Mitego, Baraza la Vijana CHADEMA (BAVICHA) limelaani kitendo hicho kwa madai kuwa ni kuvunja Katiba kwa kuingilia uhuru wa msanii huyo katika kutoa maoni yake.




Post a Comment

0 Comments