Sitaangalia mtu anatoka chama katika uteuzi wangu- Rais Samia

 


"Huko mbele, katika safu za kujenga nchi, Mtanzania yeyote mwenye ueledi na umahiri, anayeweza kuleta manufaa kwa Taifa, nitamwingiza afanye kazi. Sitachagua huyu katoka chama kipi, yule katoka chama gani."

-Rais Samia Suluhu Hassan

Post a Comment

0 Comments