Jun 10, 2021

Bilioni 328.2 kutumika kugharamia zoezi la sensa mwaka 2022

  Muungwana Blog 3       Jun 10, 2021


 "Jumla ya shilingi bilioni 328.2 zinatarajiwa kutumika kugharamia zoezi la sensa mwaka 2022 na kwa Mara ya kwanza tangu taiga kupata Uhuru sensa hii itakuwa ya kwanza kutumia vishikwambi katika zoezi la kuhesabu" - Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, Waziri wa Fedha na Mipango

logoblog

Thanks for reading Bilioni 328.2 kutumika kugharamia zoezi la sensa mwaka 2022

Previous
« Prev Post

No comments:

Post a Comment