Kubenea achukua fomu ya kuwania nafasi ya Urais TFF

 


Mbunge wa zamani wa Ubungo, Said Kubenea amechukua fomu ya urais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) huku aking'aka kucheleweshwa.

Kubenea ametinga TFF saa 7:45 mchana akiwa ameambatana na mtu mwingine mmoja na kuongoza kuingia kwenye ofisi ya mwanasheria wa TFF 

Post a Comment

0 Comments