Jun 15, 2021

Kuna mkeka wa Wakuu wa wilaya(Ma-DC) utakaotoka karibuni- Rais Samia

  Muungwana Blog 3       Jun 15, 2021


 "Kuna mkeka wa Wakuu wa wilaya(Ma-DC) utakaotoka karibuni, na wote ni vijana, hizi ndizo fursa mlizonazo ingawa baadhi yenu tunapowapa fursa hizi mnafanya mnayoyafanya mnatuangusha, niwaombe sana mnapopata fursa mkalitumikie Taifa kwa umakini, Bado nina mkeka wa wakurugenzi na Makatibu Tawala wa wilaya (Ma-DAS)" - Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza na Vijana , Mwanza.

logoblog

Thanks for reading Kuna mkeka wa Wakuu wa wilaya(Ma-DC) utakaotoka karibuni- Rais Samia

Previous
« Prev Post

No comments:

Post a Comment