Jun 11, 2021

Mwanafunzi ampiga msumari mkuu wa shule kisa kudaiwa ada

  Muungwana Blog 3       Jun 11, 2021


Mwanafunzi wa Kidato cha Tatu katika shule ya Sekondari Ainamoi iliyoko Kaunti ya Kericho, Kenya anatafutwa na Polisi kwa kumpigilia msumali wa inchi nne Mkuu wake wa shule

Mwanafunzi huyo alizuiwa kuingia darasani akitakiwa kwanza alipe ada aliyokuwa anadaiwa ambayo ni takriban Tsh. 150,000, ambapo imedaiwa Mwanafunzi aliomba muda zaidi wa kulipa kiasi hicho

Baada ya kutoelewana Mwanafunzi alimvizia Mkuu wa Shule na kumgongelea msumari wa inchi nne kichwani na kwa sasa Mwalimu yupo hospitali kwa matibabu

logoblog

Thanks for reading Mwanafunzi ampiga msumari mkuu wa shule kisa kudaiwa ada

Previous
« Prev Post

No comments:

Post a Comment