Jun 11, 2021

Mwanamke wa kwanza kuchukua fomu ya kuwania nafasi ya urais TFF

  Muungwana Blog 2       Jun 11, 2021

 


Wakati joto la uchaguzi wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) likizidi kupanda,Hawa Mniga amekuwa mwanamke wa kwanza kuchukua fomu ya urais wa shirikisho hilo.

Hawa amechukua fomu hiyo ili kupambana na rais wa TFF anayemaliza muda wake,Wallace Karia ambaye alichukua fomu ya kuwania tena nafasi hiyo Juni 8.

logoblog

Thanks for reading Mwanamke wa kwanza kuchukua fomu ya kuwania nafasi ya urais TFF

Previous
« Prev Post

No comments:

Post a Comment