Nikki wa Pili aapishwa kuwa DC Kisarawe

 


Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhe. Abubakari Kunenge amemuapisha Nickson Simon John maarufu Nikk wa pili kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe

Nickki wa pili anachukua nafasi ya DC Jokate Mwegelo ambaye ameteuliwa na Rais Samia kuwa Mkuu wa Wilaya ya Temeke Jijini Dar es Salaam


Post a Comment

0 Comments