Jun 10, 2021

Serikali kupunguza kiwango cha koi kwenye Betting

  Muungwana Blog 3       Jun 10, 2021


 Ninapendekeza kufanya mabadiliko ya sheria ya michezo ya Kubahatisha (betting) kwa kupunguza kiwango cha kodi kwenye zawadi ya ushindi kutoka asilimia 20 hadi asilimia 15 ya ubashiri wa matokeo lengo likiwa ni kuleta usawa wa utozaji kodi katika michezo hiyo,” - Waziri Dk Mwigilu Nchemba, Waziri wa Fedha na Mipango.


logoblog

Thanks for reading Serikali kupunguza kiwango cha koi kwenye Betting

Previous
« Prev Post

No comments:

Post a Comment