Jun 11, 2021

Simba yatoa fursa kwa wabunifu wa mavazi

  Muungwana Blog 2       Jun 11, 2021

Ni kupitia 𝙎𝙞𝙢𝙗𝙖 𝙅𝙚𝙧𝙨𝙚𝙮 𝘾𝙝𝙖𝙡𝙡𝙚𝙣𝙜𝙚 ambapo mshindi atakuwa ni mbunifu ambaye atapigiwa kura nyingi na mashabiki 

Unachotakiwa kufanya ni kubuni jezi ya Simba na upost kwenye page yako kwa kutumia hashtag ya #SimbaJerseyChallenge. Tutaipitia na kuiweka kwenye Instagram na Facebook Story yetu alafu mashabiki watapiga kura kuchagua nani mshindi

 

logoblog

Thanks for reading Simba yatoa fursa kwa wabunifu wa mavazi

Previous
« Prev Post

No comments:

Post a Comment