Jun 10, 2021

Zijue faida za kufanya mapenzi asubuhi kiafya

  Muungwana Blog 2       Jun 10, 2021

 


Wanasayansi wamekuwa wakifanya tafiti mbalimbali zinazohusu maswala ya Mapenzi na wengi wao wanagundua kuwa kufanya ngono ama mapenzi si tu kujihisi au kujisikia vizuri. Pia inaweza kuwa nzuri kwa ajili ya Afya zenu. Hapa ni kile ambacho maisha ya kimapenzi kiafya yanaweza kufanya kwa ajili yenu au yako. Soma zaidi hasa kwa wanandoa ufahamu faida hizi za kushangaza za kufanya mapenzi asubuhi.

FAIDA ZA KUFANYA MAPENZI ASUBUHI

  • Husaidia kuweka mfumo wa kinga yako vizuri
  • Inaongeza hamu ya kufanya mapenzi zaidi/ boosts libido
  • huimarisha kibofu cha mkojo kwa Wanawake.
  • Hupunguza shinikizo la damu.
  • Huhesabika kama moja ya Zoezi.
  • hupunguza hatari ya kupata shambulio la moyo.
  • Hupunguza maumivu ya mwili
  • Inaweza kupunguza uwezekano wa kupata kansa ya tezi dume / Prostate Cancer
  • Inaboresha hali ya usingizi
  • Hupunguza Msongo wa Mawazo
logoblog

Thanks for reading Zijue faida za kufanya mapenzi asubuhi kiafya

Previous
« Prev Post

No comments:

Post a Comment