https://monetag.com/?ref_id=TTIb Breaking News: Rais Samia achanjwa chanjo ya corona | Muungwana BLOG

Breaking News: Rais Samia achanjwa chanjo ya corona


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan Akizindua zoezi la utoaji wa chanjo ya UVIKO 19 , Ikulu Jijini Dar es Salaam, Leo Julai 28, 2021


“Mimi ni mama wa watoto 4 na ni bibi wa wajukuu kadhaa wanaonitegemea,ni mke pia, ni rais na amri jeshi mkuu..nisingetoka kujihatarisha wakati ninategemewa. Sioni hatari iliyopo kuchanjwa. Wanasayansi wamejiridhisha na Mimi nipo Tayari kuchanjwa” Samia Suluhu Hassan 

Post a Comment

0 Comments