CAF limetangaza ratiba ya mashindano ya vilabu barani Afrika

 


Shirikisho la Soka Barani Afrika CAF limetangaza ratiba ya kwanza ya mashindano ya vilabu barani Afrika kwa msimu wa 2021/22.

Mashindano yataanza rasmi kwa hatua ya awali mnamo Septemba 10, 2021

Droo ya nani atakutana na nani katika raundi za awali itafanyika Agosti 15, 2021.

Post a Comment

0 Comments