Timu ya Polisi Tanzania yaachana na wachezaji wake 13


 Klabu ya Polisi Tanzania imeachana na wachezaji wake 13 baada ya Mikataba yao kuisha na klabu kufikia uwamuzi wa kutokuongeza mikataba ya kuendelea nao tena kwa msimu ujao.

Wachezaji ambao hawataonekana kwenye msimu ujao wakikitumikia kikosi cha Polisi Tanzania kwenye michezo ya Ligi Kuu na ya Mashindano mengine ni:-

1. Marcel Kaheza

2. Joseph kimwaga

3. Mohhammed Bakari

4. George Mpole

5. Mohammed Yusuph

6. Emmanuel Manyanda

7. Mohammed Kassim

8. Erick Msagati

9. Ramadhani Kapele

10.Hassan Nassoro

11.Pato Ngonyani

12. Pius Buswita

13. Jimmy Shoji

Post a Comment

0 Comments