Ticker

6/recent/ticker-posts

SHULE YA SCOLASTICA INAWATANGAZIA NAFASI ZA MASOMO

       


Shule ya Scolastica iliyopo mji mdogo wa Himo Mkoani Kilimanjaro, Inapenda kuwatangazia ndugu wazazi / walezi nafasi za masomo katika ngazi zifuatazo;


A: SHULE YA MSINGI. (PRIMARY)

Darasa la Awali hadi la Saba kwa wanafunzi wa kutwa na bweni.


B: SHULE YA SEKONDARI. (O LEVEL)

Kidato cha Kwanza hadi cha nne kwa wanafunzi wa bweni tu.


C: SHULE YA SEKONDARI. (A LEVEL)

Kidato cha Tano hadi cha Sita kwa wanafunzi wa bweni kwa michepuo ifuatayo; PCB. PCM, CBG, EGM, HGE, ECA na HGL. HKF, HGK


Wahi nafasi sasa, Mlete mwanao apate elimu na malezi bora.


FOMU ZA KUJIUNGA ZINAPATIKANA MAENEO YAFUATAYO:


SHULENI SCOLASTICA - HIMO, KILIMANJARO.


ARUSHA - ST. THERESA CATHEDRAL


DAR ES SALAAM - MSIMBAZI CENTER

Chumba namba tisa (9).


MOSHI MJINI - Christian bookshop.


SHULE NI YA MCHANGANYIKO NA GHARAMA ZA MASOMO (ADA) NINAFUU SANA.


NYOTE MNAKARIBISHWA SANA


KWA MAWASILIANO ZAIDI FIKA SHULENI AU PIGA SIMU NAMBA 0754 783 311 AU 0754 295 483 / 0712287257


UFAULU WA SHULE
ANGALIA VIDEO HII KUONA MAZINGIRA YA SHULE.

Post a Comment

0 Comments