VIDEO: Wakamatwa na Polisi wakitengeneza pombe bandia


Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema katika kuhakikisha linalinda raia na mali zao pia katika kuunga juhudi za serikali ya kuhakikisha raia wake wanakuwa salama kiafya tarehe 04.februari 2023 muda wa saa 11:00 jioni lilianza operesheni maalum ya kuwatafuta watu wote wanaojihusisha na utengenezaji wa pombe kwa kutumia nembo za makampuni yaliyosajiliwa.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE 

Post a Comment

0 Comments