Makamu Wa Rais Mama Samia Suluhu Hassan Awasili Jijini Arusha Kushiriki Ufunguzi Wa Mkutano Wa Sarpcco Extra Ordinary Meeting Kesho

  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na mkuu wa mkoa wa Arusha Ndugu Mrisho Gambo  mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa KIA tayari kwa ufunguzi wa mkutano wa  Shirikisho la Wakuu wa Majeshi ya Polisi Kusini mwa Afrika (SARPCCO) utakaofanyika mkoani Arusha kwenye ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa AICC.

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Arusha Ndugu Lekule Laiza (kushoto) mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa KIA tayari kwa ufunguzi wa mkutano wa Shirikisho la Wakuu wa Majeshi ya Polisi Kusini mwa Afrika (SARPCCO) utakaofanyika mkoani Arusha kwenye ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa AICC.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbali mbali waliojitokeza kumpokea mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa KIA tayari kwa ufunguzi wa mkutano wa Shirikisho la Wakuu wa Majeshi ya Polisi Kusini mwa Afrika (SARPCCO) utakaofanyika mkoani Arusha kwenye ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa AICC.
Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items

Ujuwe Ugonjwa wa Busha

Kilimo cha Bamia