Baridi yamzuia Malkia Elizabeth kuhudhuria misa ya Krismasi

Uingereza. Malkia Elizabeth ameshindwa kuhudhuria misa ya Sikukuu ya Krismasi kutokana na baridi kali.

Taarifa kutoka kwenye familia ya Malkia zilisema kwamba Malkia hakuweza kufika kwenye misa hiyo iliyofanyika Sandringham na kuhudhuria na watu wengi.

Watu walitaka kujua ni kwa nini Malkia hajafika kwenye misa hiyo kama kawaida yake, lakini walijibiwa kwamba tatizo ni baridi kali.

‘‘Malkia anawatakia Krismasi njema na ameshindwa kufika hapa kwa sababu ya baridi kuwa kali,” ilisema taarifa ya familia.

Mpya zaidi Nzee zaidi