Jokate asherehekea Christmas kwa picha hizi za kuvutia

Na rangi hizo hazipatikani kwenye kadi, zawadi au kofia na mavazi ya Father Christmas pekee, bali hata katika picha nzuri za Jokate Mwegelo alizopiga kusherehekea sikukuu hiyo muhimu kwa waumini wa dini ya Kikristo.

Hizi ni picha ambazo staa huyo amezishare kwenye ukurasa wake wa Instagram kusherehekea sikukuu hiyo.





Mpya zaidi Nzee zaidi