Malkia wa Uingereza ameshindwa kuhudhuria ibada ya krismas kwa kuwa bado anaugua homa kali.
Buckingham Palace imesema kuwa anaendelea kusalia nyumbani ili kumsaidia kupona lakini ikaongezea kuwa atahudhuria sherehe za krismas za familia.
Wanamfalme Phillip, Charles, Harry na wengine walihudhuria ibada ya krismasi katika nyumba ya Malkia ya Norfolk huko Sandrigham.
Malikia na Mwanamflame Phillip walianza likizo yao ya Krismasi na kuvunja safari yao kwa wote walikuwa wanaugua homa.