News Alert:Rais Magufuli Ateua Mwenyekiti Wa Tume Ya Taifa Ya Uchaguzi Na Pia Ateua Majaji
byUnknown-
0
Katibu Mkuu kiongozi Balozi John Kijazi akitangaza uteuzi wa viongozi ya Tume ya Uchaguzi, Tume ya Maadili na Majaji wa Mahakama ya Rufaa Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 22, 2016