Ni vizuri tukawa makini tukaepuka madhara yanatokana na jicho. Jicho huona na jicho halilaumiwi kwa kuona kwake lakini ni chachu ya matatizo mengi yanayoigusa jamii. Kwa mfano unaweza kumtazama mtu ukaamini unaweza ukawa nae katika safari ya maisha hisia zikamfanya ashindwe kuchukua hatua za tahadhari juu ya mahusiano yake yeye na huyo aliemtizama na akaanza safari nae. Tr msigwa siku moja alikutana na Dada mmoja ambae ni mzaliwa wa Dar_ es _salaam lakini anaishi morogoro kikazi kama mwalimu.
Dada Yule alipofika katika maktaba ya msigwa alipokaa tu katika kiti akaanza kulia kwa uchungu.Tr msigwa akajaribu kumbembeleza na kumsihi aache kulia Ili amwambie kinachomsibu ni nini? Kweli Yule dada aliacha kulia na kumuhadithia msigwa yaliyomkuta katika safari yake ya maisha. Tr msigwa anamnukuu dada huyu"kaka yangu msigwa naomba unisaidie" Tr msigwa akajibu dada yangu kuwa na amani naamini kwa uwezo wa mungu nitakusaidia. Kaka yangu msigwa tangia nianze kuwa msichana hadi Leo sijabahatika kupata mume kitendo hiki kilikuwa kinanikera katika maisha yangu. Siku moja nilikuwa natoka nyumbani magomeni naelekea kituoni mapipa nikamuona kijana mmoja mvuta madawa ya kulevya nafsi yangu ikanishawishi niwe na Yule kijana nikamwita nikamwambia nataka nikusaidie nikupeleke sehemu ukaachane na maswala ya unga akakubali.
Tokea hapo nikaanza kumsaidia nikamnunulia nguo, nikamtafutia shule ya kusoma jioni, baada ya hapo nikamuunganisha kazi akawa mwalimu, mwishowe akabahatika kuwa mwalimu mkuu katika shule ya morogoro. Nilimpa pesa apeleke kwao kwa ajili ya mahari na mwishowe tukafunga ndoa tukawa mke na mume. Safari ya maisha ikaendelea tukawa na maisha mazuri kwa sababu wote ni wafanyakazi. Siku moja nikutana na msichana mmoja ambae ni rafiki yangu akaniuliza mwenzangu unakifua kuna neno nataka nikwambie .nikamwambia nambie akasema jirani yangu mumeo kuna mwanamke kampangia nyumba wanaishi kama mke na mume. Niliposikia kauli ile roho ilinipasuka nikafatilia kujua ukwel wa lile jambo nikagundua nikweli mume wangu anamwanamke anaishia nae nikaenda kufanya vurugu nikachoma mpaka ile nyumba moto.
Tokea hapo nikikumbuka nilipomtoa kaka yule machozi yananianguka. Siku moja nikaamua kuja dar nyumbani kupumzika nikapanda gari la abood ndani ya gari nikakutana na mzee mmoja ambae ni sonara . Akaniona mnyonge akaniuliza nikamuahadithia yaliyonikuta akaniambia hata mimi ninamatatizo hayo nimeowa kijana anaisumbua na hapa nilipo nimemuacha. Unaonaje tukianzisha mahusiano sisi wawili maongezi yakawa hayo mpaka tunafika dar.
Nikakaa nikafikiria nikaona nimkubalie yule mzee japo huku bado nipo na mume wangu. Nikawa narudi morogoro na kuja dar Mara kwa Mara kuja kujifariji na yule mzee huku mume wangu akiwa anajua kuwa mimi nakuja dar kwa kuwaona wazazi wangu. Siku moja nilikuwa nimesimama katika kituo cha basi mapipa na bwana wangu huyo sonara wa dar ambae nilizani kuwa atanifariji baada ya kuwa na misukosuko na mume wangu akatokea kaka yangu na kuniambia dada yangu umekufa.mwanaume huyu ni muathirika wa virusi vinavyoleta ukimwi .kaka msigwa niliishiwa na nguvu nikawa kama mtu niliyechanganyikiwa kilichoniumiza na kuniliza zaidi nilijitolea nguvu zangu kumsaidia huyu mwanaume Leo hii ananifikisha hapa nilipo kaka msigwa unanisaidiaje?.
Niliguna kwanza nikajiuliza maswali mengi kabla ya kumjibu chochote nikapata elimu kutozuia hisia inaweza ikawa chachu ya kuharibu maisha yako. Nikajifunza kutokuwa na uwezo wa kuvumilia misukosuko inayokukuta inaweza ikawa chachu ya kuharibu maisha yako. Nikakaa kama dk15 kwa kupigwa na bumbuwazi bila kujibu chochote huku nikimtazama anavyotokwa na machozi huku nikitafakari kwa haraka zaidi. Tukio hili lilinipa elimu pana sana katika akili yangu baada ya hapo nilimwambia mambo matatu. Jambo la kwanza nakuomba uwe na amani. Jambo la pili nitakusaidia kwa hali na mali.
Jambo la tatu mshukuru mungu kwa yote yaliyokukuta .haya ni matukio ninayokutana nayo katika harakati zangu za tafiti nakutana na watu wananihadithia kwa nia njema na kutaka ushauri nawasaidiaje katika safari yao ya maisha. Ningependa kuchukua fursa hii kuwasihi ndugu zangu waliokuwa katika mahusiano ya mke na mume au ya kawaida kuwa utulivu ni jambo la msingi katika mitikisiko ya mahusiano.
4A9 ni mkombozi mkubwa katika jamii ya watanzania walio wengi na kila siku inazidi kukamata sehemu moja hadi nyingine. Leo tunamshukuru mungu Zanzibar 4A9 imekuwa gumzo kwa watu wenye matatizo mbalimbali ya kiafya husuasani kichwa, kukosa usingizi kwa sababu ya presha, miguu kukosa nguvu, kupooza upande mmoja watu wa namna hii wanasherehekea afya bora kwa kutumia 4A9.lakini kwa watu wanaosumbuliwa na matumbo, wanaotokwa namaji sehemu za siri yanayotoa harufu Kali, na kupata muwasho sehemu za siri wote wanasherehekea afya bora kupitia 4A9.
Nipende kuwaeleza watu wanaotoa dawa mbalimbali iwe zinazotokana na miti shamba au na utaratibu wa kimagharibi kuwa watu wamechoka na wala siyo watu wanawashawishi watu wasitumie dawa hizo kwa sababu wanaotumia siyo watoto wadogo na kwa kweli kama utafanya uchunguzi utaona watu wamechoka kutumia dawa.
Mungu akipenda tr msigwa tarehe 4 atawasili kigoma kwa ziara ya siku kumi(10) nitaonana na wadau pamoja na wazee na pia nitatembelea mashamba yangu ya mpira katika eneo la karusamimba. Baada ya hapo nitatangaza lini nitakuwa bukoba kamachum na vitongoji vingine, na pia nitatangaza lini nitakuwa mwanza, mtwara, masasi na kumalizia ziara yangu visiwani pemba na zanzibar
Kwa usauri piga namba 0713646691
0752819047 email :msigwatwayibu@gmail. Com
ANGALIA VIDEO HII
