Joh Makini si wamchezo mchezo. Rapper AY amefunguka kuhusu uwezo wake kwenye muziki wa Hip Hop nchini.
“Hakuna rapa mwingine aliyeingia kwenye ‘game’ baada ya mwaka 2008 akawa mkali kumzidi Joh Makini,” amesema AY.
Kwa sasa Joh ameachia nyimbo mpya ‘Waya’ huku AY nay eye akiwa ameachia wimbo mpya ‘More and More’ aliomshirikisha Nyashinski kutoka Kenya.
