Barcelona Yabanwa, Sare 1-1 Na Real Betis

Mshambuliaji wa Barcelona, Lionel Messi akiwa amezungukwa na wachezaji wa Real Betis katika mchezo wa La Liga leo Uwanja wa Benito Villamarin mjini Sevilla. Timu hizo zimetoka 1-1, Betis wakitangulia kwa bao la Alex Alegria dakika ya 75, kabla ya Luis Suarez kuisawazishia Barca dakika ya 90
Mpya zaidi Nzee zaidi