HII NI TAARIFA YA VITISHO NA KUZUSHIWA JUU YA MMILIKI WA MUUNGWANA BLOG

HALIFAN SALIM..

Amakweli Dunia Duara na utakalo lisikia au kuliona kwa mwenzio usishangae kesho likakuta na wewe.

Siku ya jana ilikuwa ni siku Mbaya sana kwangu mimi baada ya kuzushiwa kuwa nilibakwa na mtoto wa shangazi yangu, Taarifa hii ilirushwa katika Instagram kwenye Page ya MANGE KIMAMBI.


 hii ni post ya MANGE KIMAMBI..

Uzushi huu aliotumiwa MANGE KIMAMBI ambao Ulitungwa na Shemeji yangu ambaye anaishi Uingereza Anaitwa HALFAN SALIM (Pichani hapo) kwa nia ua kunichafua tu mimi ili nionekane katika Jamii kuwa niliwahi kudhalilishwa na Mtoto wa Shangazi yangu Jambo ambali sikweli na Niuzushi tu wenye lengo la kunichafua mimi.

Ni aibu kubwa sana kwa Mtu mzima kama huyu tena mwenye Umri wa miaka 45 kutoa kauli za kumfedhehesha shemeji yake mdogo wa mke wake kwa kumzushia kuwa libakwa na Mtoto wa Shangazi yake na kisha kusambaza kwenye Mitandao ya kijamii na ilhali siyo kweli na haijawahi kutokea kitu kama hicho kwangu mimi.

Lakini hakuishia hapo tu kunidhalilisha pia amediriki kuniletea watu ili wanifanyizia mimi ili nihadhirike ila mwenyezi Mungu akaninusuru juu ya hilo.


hii ni Whatassp ya HALFAN..


Pia ananitumia vitisho kwenye Whatsapp vya kutaka kuniua mimi.


Baada ya kupata vitisho hivyo na kuona sasa ananitumia watu waje kunifanyizia mimi nikaamua kwenda polisi kutoa ripoti juu ya swala hili na hali ilivyo sasa sio siri huyu Mtu anania mbaya na mimi napia nachukua fursa hii kuwatangazia Watanzania kuwa chochote kibaya kitakacho nitokea mimi basi moja kwa moja HALFAN SALIM ( pichani hapo ) anahusika kwa 100%.. namba ya RB ni MAG | RB | 893 | 2017... Pia kama kuna mtu anataarifa za mimi kutaka kufanyiwa ubaya basi atoa taarifa kwa namba hii 0719788949 Kuna gongenono..





Mpya zaidi Nzee zaidi