HII NI TAARIFA YA VITISHO NA KUZUSHIWA JUU YA MMILIKI WA MUUNGWANA BLOG

HALIFAN SALIM..

Amakweli Dunia Duara na utakalo lisikia au kuliona kwa mwenzio usishangae kesho likakuta na wewe.

Siku ya jana ilikuwa ni siku Mbaya sana kwangu mimi baada ya kuzushiwa kuwa nilibakwa na mtoto wa shangazi yangu, Taarifa hii ilirushwa katika Instagram kwenye Page ya MANGE KIMAMBI.


 hii ni post ya MANGE KIMAMBI..

Uzushi huu aliotumiwa MANGE KIMAMBI ambao Ulitungwa na Shemeji yangu ambaye anaishi Uingereza Anaitwa HALFAN SALIM (Pichani hapo) kwa nia ua kunichafua tu mimi ili nionekane katika Jamii kuwa niliwahi kudhalilishwa na Mtoto wa Shangazi yangu Jambo ambali sikweli na Niuzushi tu tena wenye lengo la kunichafua mimi.

Ni aibu kubwa sana kwa Mtu mzima kama huyu tena mwenye Umri wa miaka 45 kutoa kauli za kumfedhehesha shemeji yake ambaye ni mdogo wa mke wake kwa kumzushia kuwa libakwa na Mtoto wa Shangazi yake na kisha kusambaza kwenye Mitandao ya kijamii na ilhali siyo kweli na haijawahi kutokea kitu kama hicho kwangu mimi.

Mimi ni mtoto niliye zaliwa katika familia ya watu wenye maadili safi na nimelelewa katika maadili safi mambo kama hayo kwetu hakuna kasiba ila huyu mshenzi kaamua kufanya haya ili anidhalilishe katika jamii na sababu kubwa ya ugomvi kati yangu mimi na yeye ni swala la Nyumba ya uridhi sijui ananii gani huyu mtu na hii nyumba yetu maana anaitolea sana macho lakin hili ni swala la kifamilia na mambo haya huwa yanaishia ndani kwa ndani chaajabu huyu shetani akaamua kuni tumia watu na kunidhalilisha katika mitandao ya kijamii kwa kweli hilisilo jambo la kiungwana kabisa.

Lakini hakuishia hapo tu kunidhalilisha pia amediriki kuniletea watu ili wanifanyizie mimi ili nihadhirike ila mwenyezi Mungu akaninusuru juu ya hilo.

Huu ni ushahidi wa yeye akisema kuwa "Uliingia kwenye kumi na nane juzi lakin ukachomoa" na kweli juzi alinitumia watu kama nane walikuwa kwenye Noah nyeusi na bahati nzuri nilipishana na hiyo gari ila hawakunijua kama ni mimi ambaye wanamtafuta kweli huu ni Uungwana ??

hii ni sms yake ambayo alinitumia kwa njia ya Whatassp..

Hii ni sms ambayo pia kanitumia kwenye Whatsapp akinitisha kuwa ataniua mm sasa kiniua unadhani ndio utapata hiyo nyumba ??? kiukweli kuwa nashemeji kama huyu mwenye roho ya Nyoka tena koboko ni shida kubwa kwa familia yangu.


Baada ya kupata vitisho hivyo na kuona sasa ananitumia watu waje kunifanyizia mimi nikaamua kwenda polisi kutoa ripoti juu ya swala hili na hali ilivyo kwa sasa sio siri huyu Mtu anania mbaya na mimi napia nachukua fursa hii kuwatangazia Watanzania kuwa chochote kibaya kitakacho nitokea mimi basi moja kwa moja HALFAN SALIM ( pichani hapo ) anahusika kwa 100%.. namba ya RB ni MAG | RB | 893 | 2017... Pia kama kuna mtu anataarifa za mimi kutaka kufanyiwa ubaya basi atoa taarifa kwa namba hii 0719788949 Kuna dongenono limeandalia..

Mpya zaidi Nzee zaidi